Ingia / Jisajili

Enyi Watu Wa Galileya (Mwanzo Kupaa Kwa Bwana)

Mtunzi: Guido B. Matui
> Tazama Nyimbo nyingine za Guido B. Matui

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,336 | Umetazamwa mara 6,207

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Kupaa kwa Bwana

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Enyi watu Galileya mwatazama nini? Huyo Bwana amepaa mbinguni amekwenda kwa baba ametangulia kuwawekea ninyi makao x 2

  1. Enyi watu wote wa galileya mwatazama nini Bwana amepaa mbinguni kwa shangwe.
     
  2. Huyo Yesu aliye chukuliwa kutoka kwenu kwenda juu mbiguni aleluya aleluya

Maoni - Toa Maoni

Damas Mlwale Mar 22, 2020
Naomba Sana Muziweke kwenye kumbukumbu UTube nyimbo aliyopiga kinanda Mzee Matui Guido jamani ,, Kama VIPI MTAFUTENI Dogo John Maja pengine ,,

Toa Maoni yako hapa