Ingia / Jisajili

Muhuri Wa Mungu

Mtunzi: Mathias Msafiri.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mathias Msafiri.

Makundi Nyimbo: Pentekoste | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Anophrine desdeus

Umepakuliwa mara 80 | Umetazamwa mara 95

Download Nota
Maneno ya wimbo
Ee Muhuri wa Mungu wetu arabuni ya urithi wetu tukaribie, Roho - Mungu tukaribie. Kaa kwetu nasi tuwe mashahidi wa Ufalme wa Mungu.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa