Ingia / Jisajili

Wewe Ndiwe Mungu

Mtunzi: Mathias Msafiri.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mathias Msafiri.

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Michael Shija

Umepakuliwa mara 800 | Umetazamwa mara 3,076

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

WEWE NDIWE MUNGU:- M. Msafiri.

KIITIKIO:

Wewe ndiwe Mungu wewe ni Mungu wewe ni Mungu wewe ni Mungu wangu wewe ni Mungu X 2

Nyakati zangu zimo mikononi mwako hukunitia mikononi mwa adui zangu X2

MASHAIRI:

  1. Nita simama juu sana juu ya Mnara nitajiweka, nitatazama ili nione lile utakaloniambia utakalo nijibu juu ya taabu yangu.
  2. Hekima yako itawale, ile inayoketi karibu nawe, katika kiti chako cha Enzi wala usiknikatae mimi miongoni mwao wale wale wa tumishi wako
  3. Wewe Ee Bwana umo ndani ya hekalu lako takatifu dunia yote na inyamaze kimya mbele zako wewe Bwana mbele zako Bwana Mungu mbele zako wewe.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa