Ingia / Jisajili

Mungu Ameonekana Duniani

Mtunzi: Vitus G. Tondelo
> Tazama Nyimbo nyingine za Vitus G. Tondelo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Vitus Tondelo

Umepakuliwa mara 14 | Umetazamwa mara 29

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Familia Takatifu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mungu wetu ameonekana Duniani x2 Akakaa na watu x2 MABETI 1. Na watu wote wameuona wokovu wa Mungu wetu aleluya 2. Miisho ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu aleluya

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa