Mtunzi: Vitus G. Tondelo
> Tazama Nyimbo nyingine za Vitus G. Tondelo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Vitus Tondelo
Umepakuliwa mara 873 | Umetazamwa mara 2,521
Download NotaMwenjiri Mt 24: 13
Mwenye kuvumilia mpaka mwisho ndiye ataokoka asema Bwana x2 Mkristo linda imani yako vumilia shida zote, tena vumilia majaribu vumilia mateso, vumilia watesi wako vumilia yote ili uokoke x2
BETI
1. Uvimilivu wake Kristo kwa mateso makali msalabani mpaka kifo, kisha ufufuko, twafundishwa baada ya shida ni furaha
2. Mkristo usikate tamaa kwa magumu yote ulonayo maishani, ndiyo msalaba, vumilia wakati wa furaha unakuja