Mtunzi: Patrick Konkothewa
> Mfahamu Zaidi Patrick Konkothewa
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Konkothewa
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,334 | Umetazamwa mara 3,838
Download Nota Download MidiIJUMAA KUU (KATIKATI)
BY: PATRICK KONKOTHEWA
AIRPORT PARISH
DODOMA
16 JANUARY, 2010
Ee Baba mikononi mwako naiweka Roho yangu naiweka Roho yangu x 2
1. Nimekukimbilia wewe Bwana, nisiaibike milele, kwa haki yako uniponye
2. Kwasababu ya watesi wangu, nimekuwa laumu naam hasa kwa jirani, jirani zangu
3. Nimesahauliwa kama mfu, asiyekuumbukwa nimekuwa kama chombo kilichovunjika