Ingia / Jisajili

Mungu Amepaa

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Bernard Mukasa

Umepakuliwa mara 8,967 | Umetazamwa mara 14,889

Download Nota
Maneno ya wimbo

Mungu amepaa, Mungu amepaa amepaa amepaa kwa sauti ya shangwe kwa sauti ya baragumu.

  1. Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe.
     
  2. Kwa kuwa Bwana aliye juu, mwenye kuogofya ndie mfalme mkuu juu ya nchi.
     
  3. Mwimbieni Mungu naam imbeni, mwimbieni mfalme wetu naam imbeni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa