Mtunzi: John Mlewa
> Mfahamu Zaidi John Mlewa
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mlewa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Ubatizo
Umepakiwa na: John Mlewa
Umepakuliwa mara 337 | Umetazamwa mara 933
Download Nota Download Midi
MUNGU AMEPENDA KUKUTEUA
Na. John Mlewa
Kiitikio
//: Mungu amependa kukuteua we uwe mtumishi wake, Mungu amependa ukaitende kazi yake ://
Mashairi
1. Ukingali tumboni mwa mama yako alikutakasa, tazama Mungu amependa uwe mtumishi wake.
2. Mavuno ni mengi wavunaji ni wachache, tazama Mungu amependa ukaitende kazi yake.
3. Bwana Mungu, anapomchagua mtumishi wake, hamchagui kwa sababu ya uerevu wake, bali anamchagua kwa sababu ni mali yake.