Mtunzi: John Mlewa
> Mfahamu Zaidi John Mlewa
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mlewa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: John Mlewa
Umepakuliwa mara 666 | Umetazamwa mara 2,632
Download Nota Download MidiKiitikio:
Yesu ni mwema anatupenda, anatualika karamuni x 2
Tukale mwili, tukanywe damu (damu yake) tupate uzima wa milele, hii ni Karamu Takatifu. x2
Viimilizi:
1. Karamu hii kweli Takatifu, ni upendo wake Kristo.
2. Mkate huu ni mwili wa Yesu, ni chakula cha uzima.
3. Divai hii ndiyo damu yake, ni kinywaji cha uzima.
4. Tukila mwili na kunywa damuye, twaishi ndani ya Kristo.