Ingia / Jisajili

Twakushukuru Mungu

Mtunzi: Hosea Nengo
> Mfahamu Zaidi Hosea Nengo
> Tazama Nyimbo nyingine za Hosea Nengo

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: HOSEA LUKASI

Umepakuliwa mara 82 | Umetazamwa mara 103

Download Nota
Maneno ya wimbo
Beti Mengi unatupa bila malipo ee Mungu watupa vyote tukuombavyo ee Mungu wetu asante sana twasema Kitikio Twakushukuru Mungu twasema asante twakushukuru Mungu twasema asante Mungu asante sana. Beti2 Tunakukoaea mengi lakini haujari watusamehe na kusahau kabisa kweli unatupenda asante. Bete.3 Tunaomba Mungu usituache katu katu kwamaana wewe ndiye mlinzi wetu Mungu tunakuomba asante.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa