Ingia / Jisajili

Mungu Na Atufadhili Na Kutubariki

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 123 | Umetazamwa mara 426

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MUNGU NA ATUFADHILI NA KUTUBARIKI Mungu na atufadhili na kutubariki, na atufadhili na kutubariki Mungu 1. Mungu na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake Njia yake ijulikane duniani Wokovu wake katikati ya mataifa yote 2. Mataifa na washangilie Naam, waimbe kwa furaha Maana kwa haki utawahukumu watu Na kuwaongoza mataifa walioko duniani 3. Nchi imetoa mazao yake Mungu, Mungu wetu, ametubariki Mungu atatubariki sisi Miisho yote ya dunia itamcha yeye.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa