Mtunzi: Gabriel C. Mkude Sekulu
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel C. Mkude Sekulu
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Daniel Njukia
Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 9
Download Nota Download MidiMUNGU TUNALETA
Mungu tunaleta-aiyaiya ooh vipaji vyetu aiyaiya ooh x2
1. Uvibariki-aiyaiya ooh
Pia uvitakase-
Ni kazi zetu-
Kazi za wanadamu-x2
2. Ndiyo mazao-
Mazao ya mashamba-
Ndiyo mavuno-
Kutoka mashambani-x2
3. Ndio mifugo
Mifugo yetu sisi-
Tunaileta-
Iwe sadaka safi-x2
4. Na fedha zetu-
Fedha za mifukoni-
Tunazileta-
Bwana uzipokee-x2
5. Na nafasi zetu-
Bwana tunazileta-
Uzibariki-
Pia uzitakase-x2