Ingia / Jisajili

Mungu Usikie Sauti Yangu

Mtunzi: Hillary. B. Bwagidi
> Tazama Nyimbo nyingine za Hillary. B. Bwagidi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,289 | Umetazamwa mara 5,620

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu usikie sauti yangu katika malalamiko yangu x 2
Unilinde uhai wangu unilinde uhai wangu na hofu ya adui zangu adui zangu x 2

  1. Utanificha mbalimbali, na shauri la siri, la watenda mabaya; mbali na ghasia ya watu, wafanyao matendo maovu.
     
  2. Watu wote wataogopa, na wataitangaza kazi yake Muumba na kuyafahamu, fahamu, matendo maendo yake.
     
  3. Nipeni neema ya kushindana, neema ya kushindana na adui shetani; mwisho nayatoa maisha yangu mbele ya enzi yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa