Ingia / Jisajili

Chakula Cha Bwana

Mtunzi: Hillary. B. Bwagidi
> Tazama Nyimbo nyingine za Hillary. B. Bwagidi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: PROCESS FAIDA

Umepakuliwa mara 2,514 | Umetazamwa mara 5,143

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

FELICIAN MARTIN B. Jun 17, 2022
Ingependeza tukapata full notes za Matini hayo mapya. Wimbo ni mzuri sana!

Hillary B. Bwagidi Jun 15, 2018
Matini ya wimbo huu ilifanyiwa marekebisho ya kiteolojia kutoka Mamlaka ya Kanisa Jimbo Kuu la Dar es Salaam kupitia baba Kaombe. Kwasababu hiyo matini ifuatayo ni mbadala wa iliyopo hapo juu. KICHWA CHA WIMBO: EE BWANA YESU KRISTO NJOO. Kiitikio: 'Ee Bwana Yesu Kristo njoo (x2) Mkate wa mbinguni, Mlishi wa roho yangu; Njoo shuka kwangu Kristo Ukanishibishe (x2). MAIMBILIZI: 1. Mwili na damu ya Yesu ni chakula chetu cha thamani, hutupa ule uzima uzima wa milele. 2. Alaye mwili wa Yesu na kukinywea kikombe chake; hupata ule uzima uzima wa milele. 3. Bwana hakika ni Wewe tabibu tabibu wa ukweli; nitibie roho yangu kwa mwili na damu yako. Aidha, namwomba uploader azingatie kwamba, wimbo huu niliutunga tarehe 08/10/2013 (words revised 06/04/2017), DAR ES SALAAM. Asante. By Mwl H.B.Bwagidi (Kurasini, DSM 15Th June,2018).

Toa Maoni yako hapa