Ingia / Jisajili

Mungu wangu

Mtunzi: A. Kazi
> Tazama Nyimbo nyingine za A. Kazi

Makundi Nyimbo: Juma Kuu

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 491 | Umetazamwa mara 2,093

Download Nota
Maneno ya wimbo

Mungu wangu Mungu Wangu mbona umeiniacha x2

1. Wote wanionao hunicheka sana hunicheka wakitikisa vichwa vyao.

2. Husema mtegemee Bwana amponye amwokoe maana apendezwa naye.

3. Kusanyiko la Waouvu wamenisonga wamenizua mikono na miguu yangu.

4. Ona wanazigawanya nguo zangu na vazi langu wanalipigia kura.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa