Ingia / Jisajili

Akawanyeshea Mana

Mtunzi: Patrick Konkothewa
> Mfahamu Zaidi Patrick Konkothewa
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Konkothewa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,699 | Umetazamwa mara 5,531

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Akawanyeshea mana ili wale x 2
Akawapa akawapa akawapa nafaka ya mbinguni x 2

  1. Mambo tuliyoyasikia na kuyafahamu, ambayo baba zetu walituambia.
     
  2. Huku tukiwaambia kizazi kingine, sifa za Bwana na nguvu na nguvu zake.
     
  3. Lakini aliyaamuru mawingu juu, akaifungua milango ya mbinguni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa