Mtunzi: Alexander Francis Sitta
> Mfahamu Zaidi Alexander Francis Sitta
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander Francis Sitta
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Alexander Francis Sitta
Umepakuliwa mara 1,025 | Umetazamwa mara 4,369
Download Nota Download MidiEe Mungu wang ee Mungu wangu kwa nini Bwana kwa nini Bwana kwa nini Bwana umeniacha
1.Wote wanionao hunicheka sana hunifyonya wakitikisa vichwa vyao husema humtegemea Mungu na amponye amwokoe sasa maana apendezwa naye.
2.Wanagawana nguo nguo zangu na vazi langu wanalipigia kura ee Bwana,nawe Bwana usiwe mbali ee Mungu wangu fanya haraka kunisaidia.
3.Nalihubiri jina lako kwa ndugu zangu katikati ya kusanyiko nitakusifu ee Mungu, nanyi mnaomcha Bwana msifuni Bwana msifuni Bwana..