Mtunzi: Ezekiel mwalongo
> Mfahamu Zaidi Ezekiel mwalongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ezekiel mwalongo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Ezekiel Mwalongo
Umepakuliwa mara 69 | Umetazamwa mara 63
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka C
Mungu yu katika kao lake takatifu takatifu, (Mungu huwalisha wapweke nyumbani, yeye huwapa watu wake nguvu na uweza)x2
1.Mungu huwakalisha wapweke nyumbani, yeye huwapa watu wake nguvu na uweza.
2.Mungu yu katika kao lake takatifu, yeye ni Baba wa yatima mwamuzi wa wajane.