Mtunzi: Fausto C. Kazi
> Mfahamu Zaidi Fausto C. Kazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Fausto C. Kazi
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,771 | Umetazamwa mara 4,590
Download Nota Download MidiMungu yu katika kao lake takatifu, Mungu huwakalisha wapweke nyumbani x 2 Yeye huwapa watu wake . yeye huwapa watu wake nguvu na uweza x 2.
Mashairi:
1. Baba wa yatima mwamuzi wa wajane, Mungu yu katika kao lake takatifu.
2. Mungu huwatoa wafungwa wawe huru, bali wakaidi huwaacha nchi kavu