Mtunzi: Fausto C. Kazi
> Mfahamu Zaidi Fausto C. Kazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Fausto C. Kazi
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,774 | Umetazamwa mara 4,817
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C
Tazama Mungu ndiye anaye nisaidia, Bwana ndiye anayenitegemeza, anayenitegemeza nafsi yangu x 2.
Mashairi:
1. Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu, nitalishukuru jina lako maana ni jema.
2. Ee Mungu kwa jina lako jina lako uniokoe, na kwa uweza wako unifanyie hukumu.
3. Ee Mungu uyasikie maombi yangu, uyasikilize maneno ya kinywa changu