Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 908 | Umetazamwa mara 3,837
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Mungu yukatika kao , Kao lake takatifu , Mungu yukatika kao lake takatifu x 2
MASHAIRI
1.Mungu huwakalisha wapweke nyumbani yeye huwapa nguvu na uwezo.
2.Mwimbieni Mungu lisifuni jina lake.
3.Muamuzi wa wajane na yatima Mungu yukatika kao lake takatifu.