Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Albert Maneno
Umepakuliwa mara 2,558 | Umetazamwa mara 7,794
Download Nota Download MidiNi shangwe za mwaka mpya twashukuru Ee Mungu umetuvusha salama. Mwaka mpya umeanza ni shangwe na nderemo, tumeanza mwaka mpya twashukuru kwa upendeleo wako Mwenyezi kutulinda, Utukufu ni wako milele.