Ingia / Jisajili

Mwamba Yesu Kafufuka

Mtunzi: Salisali J.m
> Tazama Nyimbo nyingine za Salisali J.m

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: William Yohana

Umepakuliwa mara 2,291 | Umetazamwa mara 2,346

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kusini Kaskazini Mashariki na Magharibi, Mbinguni juu na chini apa duniani ni nderemo tele, waliyempiga wakamuua kwakumdhihaki muujiza kaufanya ndio fumbo kuu-uu Bwaana Yesu ni mzima (mzima ni kweli) kashinda mauti bwana Yesu ni mzima yeye ni hodari wa vita Mwamba ni mzima kafufuka....

Maoni - Toa Maoni

Stephen Paul Tuyate Mar 21, 2024
Wimbo mtamu sana huu

MICHAEL Mar 08, 2024
Wimbo mzuri sana Naomba basi uweke mabeti na ile kibwagizo katika maneno kama ulivoweka jtangulizi

Toa Maoni yako hapa