Ingia / Jisajili

Naomba Baraka

Mtunzi: Salisali J.m
> Tazama Nyimbo nyingine za Salisali J.m

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: France Kihombo

Umepakuliwa mara 36,516 | Umetazamwa mara 44,557

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Samuel Maina Jan 19, 2022
Asanteni sana kwa nyimbo nzuri

Abel maziku Apr 28, 2021
Wimbo huu ni mzuri sana. Hongera na endelea kumtumikia Mungu.

Fredrick Sep 09, 2020
Wimbo mtamu Sana,utunzi mzuri Sana,hongereni kwa kazi

Agnes Misigah Aug 07, 2020
Naupenda sana wimbo huu. Pongezi kwa mtunzi.

Melan Muhatia May 05, 2020
N imeupenda sana wimbo huu.Pongenzi kwa mtunzi.Na tubarikiwe sote

ASHFORD MUNENE Apr 27, 2020
WIMBO NADHIFU KABISA WAUGUSA MOYO WANGU SANA... MUNGU AWAPE KADRI YA MAITAJI YENU WAIMBAJI WENZANGU... MERU KENYA

Baltazari Mar 15, 2020
Nawapongeza wote wanaofanya utume huu,naomba kujua nikiwa na nyimbo nawezakuziweka humu njia gani?

Francis Feb 13, 2020
Wimbo mzuri sana

Toa Maoni yako hapa