Ingia / Jisajili

MWANGAZA UTATUNG'ARIA LEO Zaburi 97

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Noeli | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 523 | Umetazamwa mara 1,674

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Mwangaza utatung'aria leo, kwa maana Mwana amezaliwa kwetu, kwa maana Mwana amezaliwa kwetu. 1.Bwana ametamalaki,nchi na ishangilie, visiwa vingi na vifurahi, mbingu zimetangaza haki yake, na watu wote wameuona utukufu wake. 2.Nuru imemzukia mwenye haki, na furaha wanyofu wa moyo, enyi wenye haki mfurahieni Bwana, na kulishukuru jina lake takatifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa