Ingia / Jisajili

MSIFU BWANA EE YERUSALEMU Zaburi 147

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 362 | Umetazamwa mara 1,561

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Msifu Bwana ee Yerusalemu, msifu Mungu wako Ee sayuni, maana ameyakaza mapingo ya malango yako, amewabariki wanao ndani yako. 1.Ndiye afanyaye amani mipakani mwako, akushibishaye kwa unono wa ngano, huipeleka amri yake juu ya nchi, neno lake lapiga mbio sana. 2.Humhubiri Yakobo neno lake, na Israeli amri zake na hukumu zake, hakulitendea taifa lolote mambo hayo, wala hukumu zake hawakuzijua.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa