Mtunzi: Gasper Tesha
> Tazama Nyimbo nyingine za Gasper Tesha
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 767 | Umetazamwa mara 3,001
Download Nota Download MidiMwenye njaa aje kula mwenye kiu naaje kunywa sasa meza ya Bwana iko tayari
Chakula cha mashujaa waliojiandaa vema kwa safari ya kwenda mbinguni ni juu
1. Usibebe fedha ya kununulia, Bali jitakase ndipo ujongee kwenye mea hii ya ateule
2. Heri mwenye njaa na kiu ya haki ya kulitangaza neno kwa matendo huyo astahili kwa meza hii
3. Heri mtu Yule anayejongea meza hii akiwa na moyo mweupe asiyeogopa macho ya watu