Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 574 | Umetazamwa mara 2,539
Download Nota Download MidiMwili wako mwili wako Ee Yesu wangu
Hunishibisha (mwili na) damu yako huburudisha roho mwili wako Yesu chakula cha uzima x2
1. Mwili wako Yesu mwili mtakatifu chakula cha uzima hutupatia nguvu
2. Damu yako Yesu damu takatifu kinywaji cha uzima huponya roho zetu
3. Twendeni tushiriki karamu ya Bwana wale wenye nyonyo safi Bwana atualika