Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,277 | Umetazamwa mara 4,818
Download Nota Download MidiMwili wako na damu yako imetushibisha
Karamu uliyoandaa imetushibisha
1. Mwili wako tunaokula ni chakula kweli
Damu yako tunayokunywa ni kinywaji safi
2. Tukipokea kwa Imani tutaokoka tu,
Karibu Yes undani yetu ukae daima.
3. Kaa nasi Ee Yesu mwema utupe uzima,
Utupe nguvu Rohoni mwetu milele milele.
4. Mwili wako na damu yako vyatushirikisha.
Uzidi pia kutualika kwenye meza yako.
5. Upendo wako Yesu mwema, utuzidishie,
Utuongoze maishani na tukufikie.