Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 328 | Umetazamwa mara 1,676
Download Nota Download MidiEe BWANA MUNGU WANGU
Ee Bwana Mungu wangu (Mungu wangu) Mungu wokovu wangu, usiku na
mchana ninalia ninalia mbele yako ..x2
1. Maombi yangu yafike yafike mbele yako uutegee ukelele wangu sikio lako
2. Maana nafsi yangu imeshiba taabu na uhai wangu umekalibia kuzimu