Mtunzi: Kelvin Tumaini
> Mfahamu Zaidi Kelvin Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Tumaini
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Kelvin Tumaini
Umepakuliwa mara 296 | Umetazamwa mara 1,075
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 22 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 32 Mwaka A
Kiitikio: Ee Bwana Mungu wangu nitakutafuta mapema nafsi yangu yakuonea kiu Mungu wangu*2
Mwili wangu wakuonea shauku Mungu wangu katika nchi kavu isiyo na maji*2