Ingia / Jisajili

Tazama Nasimama Mlangoni

Mtunzi: Kelvin Tumaini
> Mfahamu Zaidi Kelvin Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Tumaini

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Kelvin Tumaini

Umepakuliwa mara 72 | Umetazamwa mara 121

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 16 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 16 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 16 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana asema tazama nasimama mlangoni na kubisha hodi mtu akiisikia sauti yangu na kufungua mlango nitaingia kwake. 1. Nami nitakuwa pamoja naye naye pamoja nami 2.Yeye aliye na sikio alisikie neno hilo ambalo Roho awaambia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa