Ingia / Jisajili

NAFSI YANGU YAKUTAMANI

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 629 | Umetazamwa mara 3,391

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NAFSI YANGU YAKUTAMANI R/ Nafsi yangu yakutamani Mungu, roho yangu yaona kiu Mungu, Kama ayala atafutavyo maji, Baba nafsi yangu yakutamani Mungu. 1.Machozi yangu, yamekuwa chakula,chakula cha mchana hata na cha usiku, wananiambia yuko wapi Mungu wako, Njoo Bwana unisaidie. 2. Nafsi yangu yakuonea kiu, natamani nionekane mbele zako, wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu, Njoo Bwana unisaidie. 3.Nijaze nguvu ya Roho mtakatifu, niwe karibu nawe ewe Mwokozi wangu, unirejeshee furaha na amani,Njoo Bwana unisaidie. 4. Nitakwenda madhabahuni kwako, Ee Bwana uliye hai nitakuimbia, nitakusifu siku zote mimi mwanao, Milele, Milele, Amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa