Ingia / Jisajili

BWANA NI NURU YANGU NA WOKOVU WANGU Zab 27

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mazishi | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 1,144 | Umetazamwa mara 3,623

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu nimwogope nani, nimwogope nani, Bwana ni ngome ya uzima uzima wangu ni mhofu nani nimhofu nani. 1.Ee Bwana usikie kwa sauti yangu ninalia, unifadhili , unijibu, moyo wangu umwkuambia Bwana, uso wako nitautafuta. 2.Usinifiche uso wako, usijiepushe na mtumishi wako kwa hasira. umekuwa msaada wangu usinitupe wala usiniache, Ee Mungu wa wokovu wangu. 3.Naamini ya kuwa nitauina wema wa Bwana katika nchi ya walio hai, umngoje Bwana, uwe hodari, upige moyo konde, naam umngoje Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa