Mtunzi: Mashamba Maximillian K. Mbj
> Mfahamu Zaidi Mashamba Maximillian K. Mbj
> Tazama Nyimbo nyingine za Mashamba Maximillian K. Mbj
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: maxmillian kapesa
Umepakuliwa mara 999 | Umetazamwa mara 3,224
Download Nota Download MidiSadaka yangu naileta kwako uipokee kwa mikono yako ingawa mimi ni mdhaifu unipokee Bwana kwa Moyo wako wote.
1.Nakutolea nilichokwandalia ingawa Bwana nikidogo mno.
2.Nakutolea fedha za mifukoni ingawa Bwana ni kidogo mno.
3. Nakutolea na mazao yangu ingawa Bwana ni kidogo mno.
4,Nakutolea na maisha yangu ingawa Bwana mimi ni mdhambi.