Ingia / Jisajili

Najivunia Imani Yangu Katoliki (Mimi Ni Mkatoliki)

Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa

Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Himery Msigwa

Umepakuliwa mara 1,033 | Umetazamwa mara 1,937

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mimi ni mkatoliki najivunia ukatoliki wangu , ndio kanisa la mitume alilolianzisha Yesu mwenyewe , niacheni nizeche niacheni nijivunie ukatoliki wangu , niacheni niimbe niacheni nijivunie Imani yangu katoliki

Maoni - Toa Maoni

Veronica Charles Nov 25, 2024
Napenda ukatorik

Toa Maoni yako hapa