Ingia / Jisajili

Najongea Meza Yako

Mtunzi: J. L. Ntilakigwa
> Mfahamu Zaidi J. L. Ntilakigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za J. L. Ntilakigwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Joseph Lazaro

Umepakuliwa mara 134 | Umetazamwa mara 275

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Najongea meza yako ,nipokee bwana Mungu ,unilishe unishibxhe mwili wako nipate uzima wa milele. 1.a)Mwili wake Yesu ni chakula bora, Damu yake Yesu ni kinywaji bora atualika sote tumpokee 2.Bwana ni shibishe kwa chakula cha roho ni shibishe siku zote za maisha Yangu 3)Nafsi Yangu ya kuone kiu Bwana uninyweshe nisi nisi one kiu milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa