Ingia / Jisajili

Najongea Meza Yako

Mtunzi: Jerome Kagoma
> Tazama Nyimbo nyingine za Jerome Kagoma

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 6,551 | Umetazamwa mara 12,537

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Herbert Nzowa Aug 24, 2024
Aisee hongera sana, nimesikia wimbo wako wa Komunyo leo tar 24 Agosti kwenye misa ya Kubarikiwa Abate Peramiho, nimeupenda sana hongera...uzidi kubarikiwa

Jesca mlingi May 17, 2024
Mungu akubarik mtunzi,,,, nabarikiwa sana na ninaupenda sanaa

Jesca mlingi May 17, 2024
Mungu akubarik mtunzi,,,, nabarikiwa sana na ninaupenda sanaa

Carlos Frolence Feb 03, 2023
Wimbo unatafakarisha sana napenda mno.Hongera kwa utunzi mzuri..! Naomba midi yake kwenye namba +255754550632.

Alex Ngasa Mar 21, 2021
Hongera kwa wimbo mzuri

Ferdinand Moriasi Feb 20, 2020
Wimbo mtamu Jeka. Mungu akuongeze nguvu katika karama hii ya uimbaji.

Toa Maoni yako hapa