Ingia / Jisajili

Sheria Yako

Mtunzi: Jerome Kagoma
> Tazama Nyimbo nyingine za Jerome Kagoma

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 5,611 | Umetazamwa mara 10,774

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sheria yako naipenda mno ajabu x 2 
Sheria yako ee Sheria yako naipenda naipenda mno ajabu mno ajabu ajabu x 2

  1. Bwana ndiye aliye fungu langu he he he x 2 
    Nimesema nitayatii maneno maneno yako x 2
     
  2. Nakuomba fadhili zako ziwe he he he x 2
    Ziwe faraja kwangu sawa sawa na ahadi yako x 2
     
  3. Nimeyapenda maagizo yako he he he x 2
    Kuliko dhabahu naam dhahabu naam dhahabu iliyo safi x 2
     
  4. Shuhuda zako ni za ajabu he he he x 2
    Ndiyo maana Roho roho yangu imezishika x 2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa