Ingia / Jisajili

Nakaza Mbio

Mtunzi: Nestory Simba
> Mfahamu Zaidi Nestory Simba
> Tazama Nyimbo nyingine za Nestory Simba

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Restus Bravoo

Umepakuliwa mara 10 | Umetazamwa mara 4

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Je hamjui wanariadha hukaza Mbio ila apewaye tuzo ni mmoja naye huvikwa taji inayoharibika bali mimi nakaza mbio ilinivikwe ile taji isiyoharibika taji ya mbinguni nina kaza mbio mimi nakaza mbio ilinivikwe ile taji ya uzima wamilele isiyoharibika

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa