Ingia / Jisajili

Nakusukuru Yesu Mwema

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 3

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NAKUSHUKURU YESU MWEMA

Nakushukuru Yesu mwema, kunijalia nafasi kushiriki meza yako

Na sasa umo moyoni mwanu, ili nipate neema nasema Yesu asante

1. Umenilisha mwili wako wenye uzima wa milele, asante Yesu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa