Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 23 | Umetazamwa mara 45
Download Nota Download MidiBWANA ALIMFUMBULIA
Bwana alimfumbulia kinywa chake, katikati ya kanisa, (akamjaza na roho ya hekima na akili, akamvika taji ya utukufu)x
1. Mpigieni Mungu kelele za shangwe, imbeni utukufu wa jina lake