Mtunzi: G. A. Chavallah
> Tazama Nyimbo nyingine za G. A. Chavallah
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Philemon Kajomola
Umepakuliwa mara 5,665 | Umetazamwa mara 11,273
Download Nota Download MidiNalia mimi iyoyo shida kila siku haziniishi Ee Yesu wangu iyoyo fanya miujiza wa kwangu mimi
1. Usiku kucha ninalia simwoni wa kunisikitikia
Shida dhiki na matatizo haviniachi kila siku iii
2. Ee Yesu Bwana wa miujiza ulifanya miujiza mingi
Uliponya watu wenye magonjwa mapepo name uniponye iii
3. Kila kuchapo mimi ni shida leo hii kesho yaja nyingine
Namuomba Yesu wangu mwokozi niokoe nisiadhirike iii
4. Maadui zangu wananiuzi wanasema eti umenitupa
Bwana Yesu uwadhihirishies kuwa wewe ndiwe wangu mimi iii