Ingia / Jisajili

Nalifurahi Waliponiambia

Mtunzi: Boniface Katiku
> Mfahamu Zaidi Boniface Katiku
> Tazama Nyimbo nyingine za Boniface Katiku

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Boniface Katiku

Umepakuliwa mara 213 | Umetazamwa mara 556

Download Nota
Maneno ya wimbo
Nalifurahi Waliponiambia (Nalifurahia, waliponiambia, na twendeni wote, nyumbani mwake Bwana.)×2 (Na twendeni, nyumbani, mwa Bwana)×2 1.Miguu yetu imesimama, ndani ya malango yako, ee Yelusalemu, uliyejengwa, kama mji, ulioshikamana. 2.Huko ndiko walikopanda, kabila zake Bwana, kabila za Bwana, ushuhuda, Israeli, walimshukuru Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa