Ingia / Jisajili

Nalisema, Nitayakiri Maasi

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 7,152 | Umetazamwa mara 14,628

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana
Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi zangu x 2

  1. Heri aliyesamehewa dhambi na kusitiriwa makosa yake, Heri Bwana asiyemhesabia upotovu.
     
  2. Nalikujulisha dhambi yangu, wala sikuuficha upotovu wangu. 
     
  3. Ndiwe sitara yangu utaniepusha na mateso, utanizungusha nyimbo za wokofu.
     
  4. Naye mtu mwovu ana mapigo mengi, bali amtumainiaye Bwana fadhili zitamzunguka.

Maoni - Toa Maoni

silverio D masanja Jun 06, 2016
Wimbo huu nilikuwa nautafuta saana kwa udi na uvumba big up sana kwa huyu ndgu aliyeuandika na kuu upload!

Toa Maoni yako hapa