Ingia / Jisajili

Bwana Twaleta Vipaji

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 650 | Umetazamwa mara 756

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana twaleta vipaji vyetu twakutolea uzipokee X2

1.Zawadi twaleta Bwana pokea divai mkate Bwana pokea, vyote vipokee Bwana pokea na uvibariki Bwana pokea, Ee Bwana pokea...

2. Na fedha twaleta Bwana pokea mazao twaleta Bwana pokea, Mapato ya kazi Bwana pokea vyote vipokee Bwana pokea, Ee Bwana pokea...

3. Makosa ni mengi Bwana pokea utuondolee Bwana pokea, roho ziwe safi Bwana pokea na zikupendeze Bwana pokea, Ee Bwana pokea...

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa