Ingia / Jisajili

Nami Nimezitumainia Fadhili

Mtunzi: B. Mapalala
> Tazama Nyimbo nyingine za B. Mapalala

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: James Chusi

Umepakuliwa mara 10,165 | Umetazamwa mara 14,572

Download Nota
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Augustine Mipawa Feb 11, 2025
Tumwimbie Bwana katika Roho na kweli.. Nampongeza mpakiaji wa wimbo kwa kutusogezea wimbo huu karibu nasi, isipokuwa namuomba aufanyie marekebisho pale kwenye nota ya pili ya sauti ya tatu, kwaninilipasawa kuwa "Sol" na sio "Mi" kama alivyochora. Ukiangalia vyanzo vingine vilivyochora wimbo huo Kama kitabu cha nyimbo za liturjia matoleo yote, nota zimekaa hivyo Kama nilivyoomba. Asante na nakutakieni utume mwema

Toa Maoni yako hapa