Mtunzi: B. Mapalala
> Tazama Nyimbo nyingine za B. Mapalala
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 5,453 | Umetazamwa mara 9,333
Download Nota Download MidiSiku ile niliyokuita uliniitikia ukanifariji nafsi yangu kwa kunitia nguvu x 2
Mashairi:
1. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
2. Nitakusujudu nikilikabili, nikilikabili hekalu lako takatifu.
3. Nitalishukuru jina lako kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako.
4. Kwa maana umeikuza ahadi yako kuliko jina lako lote.
5. Maskini huyu aliita Bwana akasikia akamwokoa na taabu zake zote