Ingia / Jisajili

Namungamia

Mtunzi: Lupsin Kyungu
> Mfahamu Zaidi Lupsin Kyungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Lupsin Kyungu

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Kam's Swana

Umepakuliwa mara 151 | Umetazamwa mara 471

Download Nota
Maneno ya wimbo
Namungamia Mungu Baba (mwenyezi), nanyi ndugu zangu ( Bss & ten :Yakama); Nimefanya dhambi tele , Kwa mawazo, kwa mameno, kwa matendo na kwa kuacha mapashwa yangu, ( Bss & ten: kweli nimekosa mimi). Nimekosa sana. Ndiomana na muomba Maria mtakatifu, (Bss & ten: bikira sikuzote) Malaika na watakatifu wote, (Bss & ten:nanyi ndugu zangu) Kuniombea kwa Bwana Mungu wetu.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa