Mtunzi: Lupsin Kyungu
> Mfahamu Zaidi Lupsin Kyungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Lupsin Kyungu
Makundi Nyimbo: Misa | Tenzi za Kiswahili | Zaburi
Umepakiwa na: Kam's Swana
Umepakuliwa mara 346 | Umetazamwa mara 1,319
Download NotaK/ Ninapoamka, nitashiba kuona sura yako, ee Bwana
1. Usikie ee Bwana, neno la kuomba haki, Usikilize mlio wangu
2. Utege masikio kwa sala yangu itokayo, katika midomo isiyo na udanganyifu.